Katika kipindi hiki, Mama Neema (Inge-Marie Roager) anaongea kuhusu kupendwa na Mungu, na jinsi Mungu ana haja na sisi zote.
--------
31:50
--------
31:50
Anakupenda kwa sababu alikuumba - Wanawake wa Imani Kip #2
Mama Neema anasungumsia juu ya maada mgumu sana, na anakuambia kwamba Mungu anakupenda kwa sababu alikuumba.
--------
32:59
--------
32:59
Yesu anapiga hodi kwako - Wanawake wa Imani Kip. #3
Mama Neema anaongea kuhusu jinsi Yesu anatutafuta na maana yake ni nini, pamoja na kutuzimuliza hadithi.
--------
33:10
--------
33:10
Mwanamke Msamaria anawekwa huru na Yesu - Kip #4
Mama Neema hupitia historia ya Mwanamke Msamaria kutoka kwenye Biblia, na anazungumzia maana yake kwetu sisi wanawake wa leo.
--------
38:25
--------
38:25
Ushuhuda wa Dorena Jakobo 1/2 - Wanawake wa Imani kip. #5
Dorena Jakobo, “Mama Eliyah”, alilelewa katika familia ya kipangani, lakini alivutwa na mambo ya kanisani. Mama Neema anaongea na Dorena Jakobo aliyekutana na vikwazo vingi maishani mwake.